2 Timotheo 2:4
2 Timotheo 2:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanajeshi vitani hujiepusha na shughuli za maisha ya kawaida, ili aweze kumpendeza mkuu wa jeshi.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 22 Timotheo 2:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Askari aliye vitani hajiingizi katika shughuli za dunia, maana lengo lake ni kumpendeza yeye aliyemweka kuwa askari.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 2