2 Timotheo 2:24
2 Timotheo 2:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena haimpasi mtumwa wa Bwana kuwa mgomvi; bali kuwa mwanana kwa watu wote, awezaye kufundisha, mvumilivu
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 22 Timotheo 2:24 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Tena haimpasi mtumishi wa Bwana kuwa mgomvi, bali inampasa awe mwema kwa kila mtu, awezaye kufundisha, tena mvumilivu.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 2