2 Timotheo 2:21
2 Timotheo 2:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, kama mtu atajitakasa kwa kujitenga mbali na mambo hayo yote maovu, atakuwa chombo cha matumizi ya pekee, kwa sababu amewekwa wakfu, anamfaa Bwana wake na yupo tayari kwa kila kazi njema.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 22 Timotheo 2:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ikiwa mtu amejitakasa kwa kujitenga na hao, atakuwa chombo cha kupata heshima, kilichosafishwa, kimfaacho Bwana, kimetengenezwa kwa kila kazi iliyo njema.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 2