2 Timotheo 2:16
2 Timotheo 2:16 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Jiepushe na maneno mabaya, yasiyo na maana, yasiyo ya utauwa, kwa maana hayo huzidi kuwatosa watu katika kukosa heshima kwa Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 22 Timotheo 2:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Jiepushe na majadiliano yasiyofaa na ya kipumbavu; kwani hayo huzidi kuwatenga watu mbali na Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 2