2 Timotheo 2:11
2 Timotheo 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Usemi huu ni wa kweli: “Ikiwa tulikufa pamoja naye, tutaishi pia pamoja naye.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 22 Timotheo 2:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni neno la kuaminiwa. Kwa maana, Kama tukifa pamoja naye, tutaishi pamoja naye pia
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 2