2 Timotheo 1:3
2 Timotheo 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Ninamshukuru Mungu ambaye ninamtumikia kwa dhamiri safi kama walivyofanya wazee wangu; namshukuru kila ninapokukumbuka katika sala zangu usiku na mchana.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 12 Timotheo 1:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Namshukuru Mungu, nimwabuduye kwa dhamiri safi tangu zamani za wazee wangu, kama vile nikukumbukavyo wewe daima, katika kuomba kwangu usiku na mchana.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 1