2 Timotheo 1:2
2 Timotheo 1:2 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa Timotheo, mwanangu mpendwa. Neema, rehema na amani zinazotoka kwa Mungu Baba, na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 12 Timotheo 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)
nakuandikia wewe mwanangu mpenzi Timotheo. Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Bwana wetu.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 12 Timotheo 1:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa Timotheo, mwanangu mpendwa. Neema na iwe kwako, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 1