2 Timotheo 1:13-14
2 Timotheo 1:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Shika kwa makini mafundisho yale ya kweli niliyokufundisha na kubaki katika hiyo imani na huo upendo wetu katika kuungana na Kristo Yesu. Jambo lile bora ulilokabidhiwa lilinde kwa nguvu ya Roho Mtakatifu anayeishi ndani yetu.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 12 Timotheo 1:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Shika mfano wa mafundisho ya kweli uliyoyasikia kwangu, katika imani na upendo ulio katika Kristo Yesu. Ilinde ile amana nzuri kwa Roho Mtakatifu akaaye ndani yetu.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 1