2 Timotheo 1:10
2 Timotheo 1:10 Biblia Habari Njema (BHN)
lakini imefunuliwa kwetu sasa kwa kuja kwake Mwokozi wetu, Yesu Kristo. Yeye amekomesha nguvu za kifo, na kwa njia ya Habari Njema akadhihirisha uhai usio na kifo.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 12 Timotheo 1:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na sasa inadhihirishwa kwa kufunuliwa kwake Mwokozi wetu Kristo Yesu; aliyebatili mauti, na kuufunua uzima na kutoharibika, kwa ile Injili
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 1