2 Wathesalonike 3:4-5
2 Wathesalonike 3:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye Bwana anatupatia tumaini kubwa juu yenu, na hatuna shaka kwamba mnafanya na mtaendelea kufanya yale tuliyowaambieni. Bwana aiongoze mioyo yenu katika upendo wa Mungu na katika uvumilivu tunaopewa na Kristo.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 32 Wathesalonike 3:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nasi tumemtumaini Bwana kwa mambo yenu, kwamba mnayafanya tulivyowaagiza na kwamba mtaendelea kuyafanya. Bwana awaongoze mioyo yenu mkapate pendo la Mungu, na subira ya Kristo.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 32 Wathesalonike 3:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nasi tumemtumaini Bwana kwa mambo yenu, kwamba mnayafanya tulivyowaagiza, tena kwamba mtayafanya. Bwana awaongoze mioyo yenu mkapate pendo la Mungu, na saburi ya Kristo.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 3