2 Wathesalonike 3:2-3
2 Wathesalonike 3:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Ombeni pia ili Mungu atuokoe na watu wapotovu na waovu, maana si wote wanauamini ujumbe huu. Lakini Bwana ni mwaminifu. Yeye atawaimarisheni na kuwalinda salama na yule Mwovu.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 32 Wathesalonike 3:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na tukaokolewe kutoka kwa watu wasio haki, na waovu, maana si wote walio na imani. Lakini Bwana ni mwaminifu, atakayewafanya imara na kuwalinda kutoka kwa yule mwovu.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 32 Wathesalonike 3:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
tukaokolewe na watu wasio haki, wabaya; maana si wote walio na imani. Lakini Bwana ni mwaminifu, atakayewafanya imara na kuwalinda na yule mwovu.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 3