2 Wathesalonike 1:4
2 Wathesalonike 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndio maana sisi tunajivunia nyinyi katika makanisa ya Mungu. Tunaona fahari juu ya jinsi mnavyoendelea kuamini na kustahimili katika udhalimu wote na mateso mnayopata.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 12 Wathesalonike 1:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata na sisi wenyewe tunaona fahari juu yenu katika makanisa ya Mungu kwa ajili ya subira yenu, na imani mliyo nayo katika adha zenu zote na dhiki mnazostahimili.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 1