2 Wathesalonike 1:3
2 Wathesalonike 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu, tunapaswa kumshukuru Mungu daima kwa ajili yenu. Inafaa kwetu kufanya hivyo kwani imani yenu inakua sana na kupendana kwenu kunaongezeka sana.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 12 Wathesalonike 1:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndugu, imetupasa kumshukuru Mungu sikuzote kwa ajili yenu, kama ilivyo wajibu, kwa kuwa imani yenu inazidi sana, na upendo wa kila mtu kwenu kwa mwenzake umekuwa mwingi.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 1