2 Wathesalonike 1:11 - Compare All Versions
2 Wathesalonike 1:11 BHN (Biblia Habari Njema)
Ndiyo maana tunawaombeeni daima. Tunamwomba Mungu wetu awawezesheni kustahili maisha aliyowaitia muyaishi. Tunamwomba, kwa uwezo wake, atimize nia yenu ya kutenda mema na kukamilisha kazi yenu ya imani.
Shirikisha
2 Wathesalonike 1 BHN2 Wathesalonike 1:11 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo tunawaombea ninyi sikuzote, ili Mungu wetu awahesabu kuwa mmekustahili kuitwa kwenu, akatimiza kila haja ya wema na kila kazi ya imani kwa nguvu
Shirikisha
2 Wathesalonike 1 SRUV2 Wathesalonike 1:11 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo twawaombea ninyi sikuzote, ili Mungu wetu awahesabu kuwa mmekustahili kuitwa kwenu, akatimiza kila haja ya wema na kila kazi ya imani kwa nguvu
Shirikisha
2 Wathesalonike 1 SUV2 Wathesalonike 1:11 NEN (Neno)
Kwa sababu hii, tunawaombea ninyi bila kukoma, ili Mungu wetu apate kuwahesabu kuwa mnastahili wito wake na kwamba kwa uwezo wake apate kutimiza kila kusudi lenu jema na kila tendo linaloongozwa na imani yenu.
Shirikisha
2 Wathesalonike 1 NEN