2 Samueli 9:9
2 Samueli 9:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, mfalme Daudi akamwita Siba mtumishi wa Shauli, akamwambia, “Ile mali yote iliyokuwa ya Shauli na jamaa yake nimempa mjukuu wa bwana wako.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 92 Samueli 9:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo mfalme akamwita Siba, mtumishi wa Sauli, akamwambia, Mali yote yaliyokuwa ya Sauli na ya nyumba yake nimempa mjukuu wa bwana wako.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 9