2 Samueli 9:3
2 Samueli 9:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme akamwuliza, “Je, hakuna mtu yeyote aliyesalia katika jamaa ya Shauli? Kama yuko, ningependa kumtendea wema wa Mungu.” Siba akamjibu, “Yuko mwana wa Yonathani, lakini yeye amelemaa miguu.”
Shirikisha
Soma 2 Samueli 92 Samueli 9:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mfalme akasema, Je! Hakuna hata sasa mtu yeyote wa nyumba ya Sauli, nipate kumtendea mema ya Mungu? Siba akamwambia mfalme, Yonathani anaye mwana hata sasa, aliye na kilema cha mguu.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 9