2 Samueli 9:13
2 Samueli 9:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Mefiboshethi akakaa Yerusalemu; maana alikuwa akila chakula sikuzote mezani pa mfalme; naye alikuwa na kilema cha miguu yote miwili.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 92 Samueli 9:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, Mefiboshethi aliyekuwa amelemaa miguu yake yote akawa anaishi mjini Yerusalemu, na kupata chakula chake mezani pa mfalme daima.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 92 Samueli 9:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Mefiboshethi akakaa Yerusalemu; maana alikuwa akila chakula siku zote mezani pa mfalme; naye alikuwa na kilema cha miguu yote miwili.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 9