2 Samueli 9:12
2 Samueli 9:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mefiboshethi alikuwa na mtoto mdogo wa kiume aliyeitwa Mika. Watu wote wa jamaa ya Siba wakawa watumishi wa Mefiboshethi.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 92 Samueli 9:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Huyo Mefiboshethi alikuwa na mwana mdogo, jina lake akiitwa Mika. Na watu wote waliokaa nyumbani mwa Siba walikuwa watumishi wa Mefiboshethi.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 9