2 Samueli 7:8
2 Samueli 7:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo basi, mwambie mtumishi wangu Daudi: Mwenyezi-Mungu wa majeshi anasema hivi: Nilikutoa malishoni ulikokuwa unawachunga kondoo, ili uwe mkuu wa watu wangu Israeli.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 72 Samueli 7:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, sasa, mwambie mtumishi wangu, Daudi, maneno haya, BWANA wa majeshi asema hivi, Nilikutwaa katika zizi la kondoo, katika kuwaandama kondoo, ili uwe mkuu juu ya watu wangu, juu ya Israeli
Shirikisha
Soma 2 Samueli 7