2 Samueli 7:18
2 Samueli 7:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha mfalme Daudi akaingia ndani na kuketi mbele ya Mwenyezi-Mungu; halafu akaomba, “Mimi ni nani ee Bwana Mungu, na jamaa yangu ni nini hata ukaniinua mpaka hapa nilipo leo!
Shirikisha
Soma 2 Samueli 72 Samueli 7:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Daudi, mfalme, akaingia, akaketi mbele za BWANA, akasema, Mimi ni nani, Bwana MUNGU, na nyumba yangu ni nini, hata umenileta hadi hapa?
Shirikisha
Soma 2 Samueli 7