2 Samueli 7:12
2 Samueli 7:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku zako zitakapotimia na utakapofariki na kujiunga na babu zako, nitamfanya mmoja wa watoto wako wewe mwenyewe awe mfalme, nami nitauimarisha ufalme wake.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 72 Samueli 7:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe siku zako zitakapotimia, ukalala na baba zako, nitainua mzao wako nyuma yako, atakayetoka viunoni mwako, nami nitauimarisha ufalme wake.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 7