2 Samueli 6:16
2 Samueli 6:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Sanduku la Mwenyezi-Mungu lilipokuwa linaingia katika mji wa Daudi, Mikali binti Shauli alichungulia dirishani akamwona mfalme Daudi akirukaruka na kucheza mbele ya Mwenyezi-Mungu; basi, akamdharau moyoni mwake.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 62 Samueli 6:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, sanduku la BWANA lilipoingia mji wa Daudi, Mikali binti Sauli, akachungulia dirishani, akamwona mfalme Daudi akirukaruka na kucheza mbele za BWANA; akamdharau moyoni mwake.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 6