2 Samueli 5:20
2 Samueli 5:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Daudi akafika Baal-perasimu, na kuwashinda Wafilisti; halafu akasema, “Mwenyezi-Mungu amepita katikati ya adui zangu kama mafuriko ya maji yaendayo kasi.” Kwa hiyo mahali hapo pakaitwa Baal-perasimu.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 52 Samueli 5:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Daudi akaja Baal-perasimu, naye Daudi akawapiga huko; akasema, BWANA amewafurikia adui zangu mbele yangu, kama mafuriko ya maji. Basi akapaita mahali pale Baal-perasimu.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 5