2 Samueli 22:7
2 Samueli 22:7 Biblia Habari Njema (BHN)
“Katika taabu yangu, nilimwita Mwenyezi-Mungu; nilimwita Mungu wangu. Toka hekaluni mwake aliisikia sauti yangu, kilio changu kilimfikia masikioni mwake.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 222 Samueli 22:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika shida yangu nilimwita BWANA, Naam, nikamlalamikia Mungu wangu; Naye akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 22