Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samueli 22:32 - Compare All Versions

2 Samueli 22:32 BHN (Biblia Habari Njema)

“Nani aliye Mungu isipokuwa Mwenyezi-Mungu? Nani aliye mwamba wa usalama ila Mungu wetu?

2 Samueli 22:32 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Maana ni nani aliye Mungu, ila BWANA? Ni nani aliye mwamba, ila Mungu wetu?

2 Samueli 22:32 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Maana ni nani aliye Mungu, ila BWANA? Ni nani aliye mwamba, ila Mungu wetu?

2 Samueli 22:32 NEN (Neno)

Kwa maana ni nani aliye Mungu zaidi ya BWANA? Ni nani aliye Mwamba isipokuwa Mungu wetu?