2 Samueli 21:18
2 Samueli 21:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa baada ya hayo, kulikuwa na vita tena na Wafilisti huko Gobu; ndipo Sibekai, Mhushathi, alipomwua Safu, aliyekuwa mmojawapo wa Warefai.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 212 Samueli 21:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya hayo, kulitokea tena mapigano na Wafilisti huko Gobu. Huko Sibekai, Mhushathi, alimuua Safu aliyekuwa mmojawapo wa wazawa wa Warefai.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 212 Samueli 21:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa baada ya hayo, kulikuwa na vita tena na Wafilisti huko Gobu; ndipo Sibekai, Mhushathi, alipomwua Safu, aliyekuwa mmoja wa Warefai.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 21