2 Samueli 2:4
2 Samueli 2:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wa Yuda walimwendea Daudi huko Hebroni wakampaka mafuta awe mfalme wao. Daudi aliposikia kuwa watu wa Yabesh-gileadi ndio waliomzika Shauli
Shirikisha
Soma 2 Samueli 22 Samueli 2:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi watu wa Yuda wakaenda, wakamtia Daudi mafuta huko, awe mfalme juu ya nyumba ya Yuda. Wakamwambia Daudi wakasema, Watu wa Yabesh-gileadi ndio waliomzika Sauli.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 2