2 Samueli 18:5
2 Samueli 18:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme akawaamuru Yoabu, Abishai na Itai, “Kwa ajili yangu, mtendeeni yule kijana Absalomu kwa upole.” Watu wote walimsikia mfalme alipoamuru makamanda wake kuhusu Absalomu.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 182 Samueli 18:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mfalme akawaamuru Yoabu na Abishai na Itai, akasema, Mtendeeni yule kijana, Absalomu, kwa upole kwa ajili yangu. Nao watu wote wakasikia, mfalme alipowaagiza makamanda wote kuhusu Absalomu.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 18