2 Samueli 18:14
2 Samueli 18:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Yoabu akamwambia, “Mimi sina wakati wa kupoteza pamoja nawe.” Hapo Yoabu akachukua mikuki midogo mitatu mkononi mwake, akaenda na kumchoma Absalomu moyoni, Absalomu akiwa bado hai kwenye tawi la mwaloni.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 182 Samueli 18:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Yoabu akasema, Siwezi kungoja na kusema nawe hivi. Akachukua mikuki mitatu midogo mkononi mwake, akamchoma Absalomu moyoni, alipokuwa bado hai katikati ya ule mwaloni.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 18