2 Samueli 14:1
2 Samueli 14:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Yoabu mwana wa Seruya, alitambua kwamba maelekeo ya moyo wa Daudi yalikuwa kwa Absalomu tu.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 142 Samueli 14:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Yoabu, mwana wa Seruya, akatambua ya kuwa moyo wa mfalme unamwelekea Absalomu.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 14