2 Samueli 13:31
2 Samueli 13:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme Daudi aliinuka, akararua mavazi yake kwa huzuni akalala chini. Hata na watumishi wake wote waliokuwa wamesimama karibu naye walirarua mavazi yao.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 132 Samueli 13:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo mfalme akainuka, akararua nguo zake, akalala chini; nao watumishi wake wote wakasimama karibu naye, nguo zao zikiwa zimeraruliwa.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 13