2 Samueli 13:29
2 Samueli 13:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, watumishi wa Absalomu walimtendea Amnoni kama walivyoamriwa na Absalomu, kisha wana wa kiume wengine wa mfalme wakaondoka kila mmoja akapanda nyumbu wake na kukimbia.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 132 Samueli 13:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi watumishi wa Absalomu wakamfanyia Amnoni kama alivyoamuru Absalomu. Ndipo wakaondoka wana wote wa mfalme, wakapanda kila mtu nyumbu wake, wakakimbia.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 13