2 Samueli 13:1
2 Samueli 13:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Absalomu, alikuwa na dada yake mzuri aliyeitwa Tamari. Muda si muda, Amnoni, mtoto mwingine wa kiume wa Daudi, akampenda sana Tamari.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 132 Samueli 13:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa baada ya hayo, Absalomu, mwana wa Daudi, alikuwa na dada yake mzuri, aliyeitwa Tamari, naye Amnoni, mwana wa Daudi, akampenda.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 13