2 Samueli 12:16
2 Samueli 12:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Daudi akamwomba Mungu kwa ajili ya mtoto; Daudi akafunga, akaingia, akalala usiku kucha chini.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 122 Samueli 12:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Daudi alimwomba Mungu mtoto apate nafuu. Alikwenda chumbani kwake, na usiku kucha akalala sakafuni.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 122 Samueli 12:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Daudi akamwomba Mungu kwa ajili ya mtoto; Daudi akafunga, akaingia, akalala chini usiku kucha.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 12