2 Samueli 11:2
2 Samueli 11:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku moja, wakati wa jioni, Daudi aliamka kitandani akaenda kwenye paa ya ikulu. Alipokuwa anatembea huko juu, alimwona mwanamke mmoja akioga na mwanamke huyo alikuwa mzuri sana.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 112 Samueli 11:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa wakati wa jioni, Daudi akaondoka kitandani, akatembea juu ya dari la jumba la mfalme; na alipokuwa juu ya dari aliona mwanamke anaoga; naye huyo mwanamke alikuwa mzuri sana, wa kupendeza macho.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 11