2 Samueli 1:6
2 Samueli 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Yule kijana akamjibu, “Kwa bahati, nilikuwapo mlimani Gilboa. Nilimwona Shauli ameegemea mkuki wake na magari ya wapandafarasi ya adui zake yalikuwa yanamsonga sana.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 12 Samueli 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yule kijana aliyempa habari akasema, Nilikuwapo kwa nasibu juu ya kilima cha Gilboa, na tazama, Sauli alikuwa ameegemea fumo lake; na tazama, magari na wapanda farasi wanamfuatia kwa kasi.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 1