2 Samueli 1:26
2 Samueli 1:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Nasikitika kwa ajili yako, ndugu yangu Yonathani. Umekuwa kwangu daima mtu wa kupendeza, pendo lako kwangu limekuwa la ajabu, la ajabu kuliko la mwanamke.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 12 Samueli 1:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimesikitika kwa ajili yako, Yonathani, ndugu yangu, Ulikuwa ukinipendeza sana; Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu, Kupita upendo wa wanawake.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 1