2 Petro 3:5
2 Petro 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu hao, kwa makusudi, husahau kwamba zamani Mungu alinena, nazo mbingu na dunia zikaumbwa. Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa maji
Shirikisha
Soma 2 Petro 32 Petro 3:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana hufumba macho yao wasione neno hili ya kuwa zilikuwako mbingu tangu zamani, na nchi pia, imefanyizwa kutoka katika maji, na ndani ya maji, kwa neno la Mungu
Shirikisha
Soma 2 Petro 3