2 Petro 2:6
2 Petro 2:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu aliiadhibu miji ya Sodoma na Gomora, akaiteketeza kwa moto, akaifanya iwe mfano wa mambo yatakayowapata watu wasiomcha Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Petro 22 Petro 2:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tena akaihukumu miji ya Sodoma na Gomora, akiipindua na kuifanya majivu, akaifanya iwe ishara kwa watu watakaokuwa hawamchi Mungu baada ya haya
Shirikisha
Soma 2 Petro 2