2 Petro 2:5
2 Petro 2:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu hakuihurumia dunia ya hapo kale, bali alileta gharika kuu juu ya nchi ile ya watu wasiomcha Mungu; lakini Noa ambaye alihubiri uadilifu, Mungu alimwokoa pamoja na watu wengine saba.
Shirikisha
Soma 2 Petro 22 Petro 2:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu hakuihurumia dunia ya hapo kale, bali alileta gharika kuu juu ya nchi ile ya watu wasiomcha Mungu; lakini Noa ambaye alihubiri uadilifu, Mungu alimwokoa pamoja na watu wengine saba.
Shirikisha
Soma 2 Petro 22 Petro 2:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wala hakuuachilia ulimwengu wa kale, bali alimhifadhi Nuhu, mjumbe wa haki, na watu wengine saba, hapo alipoleta Gharika juu ya ulimwengu wa wasiomcha Mungu
Shirikisha
Soma 2 Petro 2