2 Petro 2:17
2 Petro 2:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu hao ni kama chemchemi zilizokauka, kama mawingu yanayopeperushwa na tufani; makao yao waliyowekewa ni mahali pa giza kuu.
Shirikisha
Soma 2 Petro 22 Petro 2:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hawa ni visima visivyo na maji, na mawingu yachukuliwayo na tufani, ambao weusi wa giza ni akiba waliyowekewa.
Shirikisha
Soma 2 Petro 2