2 Petro 2:14
2 Petro 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Macho yao yamejaa uzinzi na uwezo wao wa kutenda dhambi hauna kikomo. Huwaongoza watu walio dhaifu mpaka mitegoni. Mioyo yao imezoea kuwa na tamaa ya mali. Wapo chini ya laana ya Mungu!
Shirikisha
Soma 2 Petro 22 Petro 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wenye macho yajaayo uzinzi, watu wasiokoma kutenda dhambi, wenye kuhadaa roho zisizo imara, wenye mioyo iliyozoezwa kutamani, wana wa laana
Shirikisha
Soma 2 Petro 2