2 Petro 1:9
2 Petro 1:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mtu asiye na sifa hizo ni kipofu, hawezi kuona na amesahau kwamba alikwisha takaswa dhambi zake za zamani.
Shirikisha
Soma 2 Petro 12 Petro 1:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana yeye asiyekuwa na hayo ni kipofu, hawezi kuona vitu vilivyo mbali, amesahau kule kutakaswa dhambi zake za zamani.
Shirikisha
Soma 2 Petro 1