2 Wafalme 7:9
2 Wafalme 7:9 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kisha wakaambiana, “Hili tunalolifanya sio jema. Hii ni siku ya habari njema, nasi tunakaa kimya. Tukisubiri hadi mapambazuko, maafa yatatupata. Twendeni mara moja tukatoe habari hizi katika jumba la mfalme.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 72 Wafalme 7:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wakaambiana, “Tunalofanya si sawa! Hii ni habari njema tuliyo nayo leo, na ikiwa tutangoja mpaka asubuhi, bila shaka tutaadhibiwa. Twende mara moja tukawaambie watu wa nyumba ya mfalme!”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 72 Wafalme 7:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo wakaambiana, Mambo haya tufanyayo si mema; leo ni siku ya habari njema, na sisi tunanyamaza; mkingoja hata kutakapopambazuka, madhara yatatupata; basi twende tukawaambie watu wa nyumba ya mfalme.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 7