2 Wafalme 6:8
2 Wafalme 6:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati mmoja kulikuwa na hali ya vita kati ya Aramu na Israeli. Basi, mfalme wa Aramu akashauriana na maofisa wake kuhusu mahali watakaposhambulia.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 62 Wafalme 6:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, mfalme wa Shamu alikuwa akifanya vita na Israeli. Akafanya mashauri na watumishi wake, akasema, Kituo changu kitakuwapo mahali fulani.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 6