2 Wafalme 4:7
2 Wafalme 4:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Akarudi kwa mtu wa Mungu na kumweleza habari hizo. Naye mtu wa Mungu akamwambia, “Nenda ukauze hayo mafuta na kulipa madeni yako, ndipo wewe na wanao mtaishi kwa kutumia hayo yatakayobaki.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo akaja akamwambia yule mtu wa Mungu. Naye akasema, Nenda ukayauze mafuta haya, uilipe deni yako; nayo yaliyosalia uyatumie wewe na watoto wako.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 4