2 Wafalme 4:3
2 Wafalme 4:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Elisha akamwambia, “Nenda kwa jirani zako uazime vyombo vitupu vingi kadiri utakavyopata.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema, Nenda, ukaazime vyombo huko nje kwa jirani zako wote, vyombo vitupu; wala usiazime vichache.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 4