2 Wafalme 4:2
2 Wafalme 4:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Elisha akamwuliza, “Sasa nikusaidieje? Niambie kile ulicho nacho nyumbani.” Mama huyo mjane akamjibu, “Mimi mtumishi wako sina kitu chochote ila chupa ndogo ya mafuta.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Elisha akamwambia, Nikufanyie nini? Niambie; una kitu gani nyumbani? Akasema, Mimi mjakazi wako sina kitu nyumbani, ila chupa ya mafuta.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 4