2 Wafalme 4:10-11
2 Wafalme 4:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mbona basi tusimjengee chumba na huko tumwekee kitanda, meza, kiti na taa, ili akitumie kila anapotutembelea?” Siku moja Elisha akaja huko na kuingia chumbani mwake ili apumzike.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nakuomba, tumfanyie chumba kidogo ukutani; na ndani yake tumwekee kitanda, na meza, na kiti, na kinara cha taa; na itakuwa, atujiapo, ataingia humo. Ikawa siku moja akafika huko, akaingia katika chumba kile akalala.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:10-11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nakuomba, tumfanyie chumba kidogo ukutani; na ndani yake tumwekee kitanda, na meza, na kiti, na kinara cha taa; na itakuwa, atujiapo, ataingia humo. Ikawa siku moja akafika huko, akaingia katika chumba kile akalala.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 4