2 Wafalme 24:3
2 Wafalme 24:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakika mambo haya yaliikumba nchi ya Yuda kwa amri ya Mwenyezi-Mungu, ili kuwahamisha kutoka mbele yake, kwa sababu ya dhambi za mfalme Manase na yote aliyoyatenda
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 242 Wafalme 24:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hakika kwa amri ya BWANA mambo hayo yalimpata Yuda, ili waondoshwe kutoka machoni pake, kwa sababu ya dhambi zake Manase, kadiri ya yote aliyoyafanya
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 24